CUSTOMER CARE
Terms and Conditions
Masharti ya kutumia GENGE ONLINE.
Orders
Oda inathibitishwa baada ya taarifa zako kuhakikiwa na GENGE ONLINE. Tafadhali tumia namba ya simu inayopatikana.
Delivery
Delivery inapatikana ndani ya maeneo yaliyoorodheshwa Dodoma. Fee na muda wa delivery huonyeshwa checkout kabla ya kutuma oda.
Prices and payment
Bei zinaweza kubadilika kulingana na upatikanaji wa bidhaa. Kwa sasa tunatumia Cash on Delivery.
Product availability
Stock huweza kubadilika. Tukikosa bidhaa baada ya oda, tutawasiliana nawe kabla ya delivery.
Contact
Kwa maswali kuhusu oda, piga 0716265838 au wasiliana nasi kupitia WhatsApp.